5. Wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada. [5]Hatumuabudu yeyote ila Wewe tu, wala hatutaki msaada kwa yeyote ila kwako tu.